Sunday, 4 July 2021
Thursday, 1 July 2021
PLUS TV YAJA KUINUA MICHEZO
Meneja wa Vipindi wa Plus TV ISaya Kandonga amesema tare he 27 mwezi 8 Mwaka 2021 na tarehe 28 mwezi mwaka 2021 watazinduwa Jukwaa Litakalo zungumzia jinsi ya kutatuwa changamoto kwenye Michezo linaloitwa exspo.
Ambako nchi Zaidi ya 8 zitashiriki ikiwemo Kenya ,Romania,Rwanda,Tanzania na zinginezo.Jukwaa ili litaoneshwa kupitia Plus TV kwenye king'amuzi cha Dstv namba 294.
Nae Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Almas Kasongo amewapongeza Plus TV Kwan wataongeza uelewa wa mikataba ya wachezaji nakukuza uchumi kwa kupitia Michezo .
Nae Esta Maongezi amewataka wadhamini kujitokeza kwa Wingi ili Jukwaa ili lifanikiwe.
Habari na Victoria Stanslaus
exspo.Ambako nchi Zaid ya 8 zitashiriki ikiwemo Kenya
Ambako
N
Friday, 18 June 2021
BETI AWATAKA WATU KUJITOKEZA SIKU YA BABA DUNIANI
Kila ifikapo tarehe 16 ya mwezi 6 ni siku ya baba duniani ambako BETI amewataka watanzania kutambua na kuthamini michango ya kina baba . Pia amesema watu wakitambua umuhimu wa baba maswala ya ukatili wa kijinsia yatatokomea.
Habari na Ally Thabiti
JANETI MAWINZA ATOA MAPENDEKEZO KABAMBE YA BAJETI
Janeti Mawinza ameitaka Serikali kuzingatia bajeti yenye mlengo wa kijinsia ikiwemo ujenzi wa mabweni kwaajili ya wanafunzi wa kike pia kuwepo na bajeti kwaajili ya waanga wakifanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia .
Habari na Ally Thabiti
BODI YA MIKOPO YAJA NA MUHARUBAINI
Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo Badu Masudi amesema wameamuwa kushirikiana na Rita Lengo kufanya uhakiki wa vyeti vya wanafunzi watakao pata mikopo ya Elimu ya juu.
Kwani kuna udabganyifu mkubwa unaofanywa na waomba mikopo na kupelekea watu wenye sifa kukosa mikopo .
Habari picha na Ally Thabiti
WATUNISHA MISURI WATANGAZA VITA
Katibu wa Chama cha Watunisha Misuri amewataka Vijana wa Kitanzania kujitokeza kwa wingi katika kushiriki kutunisha Misuri kwani kuna fursa mbalimbali zinapatikana za kujikwamua kiuchumi.
Habari picha na Ally Thabiti


