Meneja wa Vipindi wa Plus TV ISaya Kandonga amesema tare he 27 mwezi 8 Mwaka 2021 na tarehe 28 mwezi mwaka 2021 watazinduwa Jukwaa Litakalo zungumzia jinsi ya kutatuwa changamoto kwenye Michezo linaloitwa exspo.
Ambako nchi Zaidi ya 8 zitashiriki ikiwemo Kenya ,Romania,Rwanda,Tanzania na zinginezo.Jukwaa ili litaoneshwa kupitia Plus TV kwenye king'amuzi cha Dstv namba 294.
Nae Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Almas Kasongo amewapongeza Plus TV Kwan wataongeza uelewa wa mikataba ya wachezaji nakukuza uchumi kwa kupitia Michezo .
Nae Esta Maongezi amewataka wadhamini kujitokeza kwa Wingi ili Jukwaa ili lifanikiwe.
Habari na Victoria Stanslaus
exspo.Ambako nchi Zaid ya 8 zitashiriki ikiwemo Kenya
Ambako
N
No comments:
Post a Comment