Mzee ambaye anatengeneza Vikoi amesema anaipongeza Sido kwa kuweza kumpa hujuzi na kumtafutia masoko ya kuuza vikoi vyake na sasa anapatikana Goba amesema haya kwenye maonyesho ya 45 kwenye viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Habari Picha
Ally Athabiti
No comments:
Post a Comment