Sunday, 11 July 2021

TGNP YATOA NENO SIKUMIA YA SAMIA SURUHU HASSAN


 Mkurugenzi mtendaji wa TGNP mtandao LILIAN LIUNDI amesema wanampongeza Raisi Samia Suruhu Hassan Ndani ya siku 100 ameweza kutatua changamoto ya maswala ya kijinsia.

Habari picha na Ally Thabith



No comments:

Post a Comment