Thursday, 8 July 2021

SHIMONO YAWAITA WATU KUNUNUA BIDHAA ZAO

Mello kutoka kampuni ya shimono amewataka watanzania kujitokeza kwa wingi kwenye viwanja vya sabasaba kununua bidhaa za shimono zikiweo pasi, Juice, na bidha nyinginezo. amesema haya kwenye maonyesho 45 kwenye viwanja vya sabasaba.

Habari picha na Ally Thabith

No comments:

Post a Comment