Thursday, 8 July 2021

EAST WEST SEED YAJA NA MIKAKATI MIZITO



 
Daniel Kabaka Afisa kilimo kiongozi wa East West Seed amesema huduma wanazo zitoa ni bora na nzuri pia mikakati yao kutatua changamoto zinazo wakabili wakulima kwakuwapa elimu na mbinu mbalimbali za kilimo.

Amesema haya kwenye maonyesho ya 45 ya sabasaba.

Habari picha na Ally Thabith


No comments:

Post a Comment