Sunday, 11 July 2021

STAMICO YAWAFIKIA WATU WENYE ULEMAVU KWENYE SEKTA YA MADINI

 



Geofrey Meena amesema STAMICO imeweza kuwafikia wachimbaji wa madini wenye ulemavu wa uziwi kwakuwapa elimu ya uchimbaji na namna ya kujikinga na maafa kwenye migodi ya madini pia STAMICO inafanya ujenjuaji wa dhahabu lengo kuiongezea thamani Zahabu yetu nae katibu wa wachimbaji wenye uziwi ameipongeza STAMICO kuwatengenezea mazingira rafiki katika uchimbaji.

Amesema haya kwenye maonyesho ya 45 kwenye viwanja vya sabasaba 

habari picha na Ally Thabith

No comments:

Post a Comment