SOPHIA CLEEMNT TUKA-SENIOR TUTOR amewataka watu kujitokeza kwa wingi kwenye chuo cha ualimu wa VETA MOROGORO watu wajitokeze kwa wingi ili wapate kuwa walimu wa vyuo vya VETA kwani kozi zinazotolewa zinaendana na mipango mikakati ya Rais Samia Suruhu Hassan Tanzania iwe ya viwanda pia wanakozi tatu huku wakizingatia kuwaanda walimu ambao watakao kuwa wanafundisha watu walemavu wa aina mbalimbali amewataka watu kuchangamkia fursa wakuwa waalimu wa vyuo vya VETA, amesema haya kwenye maonyesho 45 ya sabasaba ndani ya viwanja vya sabasaba
habari ya Picha na Ally Thabith
No comments:
Post a Comment