Sunday, 11 July 2021

WATU WATAKIWA KUNUNUA MAJIKO JANJA

 Mwandisi Warda Ester Mash'mark amewaataka watu kununa majiko ya umeme kwa shilingi laki moja na elfu thelathin pia wanasufuria za bei nafuu kwa mawasiliano 0718754694 au 0785911260.

amesema haya kwenye maonyesho ya 45 sabasaba.

\Habari picha na Ally Thabith


No comments:

Post a Comment