Monday, 26 July 2021

CHUO CHA UKUTUBI NA UHIFADHI NYARAKA CHAFUNGUA MILANGO

 Mkutubi na Muhifadhi Nyaraka Theresia Kayumba amesema watu wajitokeze Kwa wingi kujiunga na Chuo cha  Ukutubi na Muhifadhi Nyaraka ambako Chuo hiki kipo Kibaha Mkoa wa Pwani .

Kwa ngazi ya Cheri na Diploma ghamama ni nafuu zakujiunga pia baada ya kumaliza Masomo fursa za kuajiliwa ni nyingi Kwa mawasilianozaidi piga +255 023 2440501/+255737975981/0714259997 Barua Pepe slads@tisb.go.tz: Tovuti www.slads.oc.tz

Bi Theresia Kayumba amewataka watu kutembelea Banda la Chuo cha Ukutubi na Muhifadhi Nyaraka kwenye Maonyesho yalioandaliwa na TCU viwanja vya Mnazi mmoja jijin Dsm

Habari na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment