Mratibu wa Mafunzo ya Muda Mlefu wa Chuo cha Bank of Tanzania Academy Mlowe Airenus. amesema kutokana na changamoto za upungufu wa wataaram kwenye mabenk Ndio maana wameamuwa Chuo cha Bank of Tanzania Academy kilichopo jijini Mwanza kutoa Mafunzo ya kibenk .
Mlowe Airenus ameapongeza Uongozi wa BOT Kwa kutoa elimu kwani Sekta ya kibenk itapiga atuwa kubwa.
Ivyo ametoa Rai watu waweze kuchangamkia fursa hii kwani wataweza kuajiliwa Kwa haraka zaidi Kwa mawasilihano piga namba 0768 248 524 amesema haya kwenye Maonyesho ya Vyuo Vikuu viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dsm .
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment