BUGALAMA KULWA kutoka kionda Morogoro anaishukuru SIDO kwa kumpa elimu na ujuzi kwa namna ya kutengeneza mashine za aina mbalimbali ambako imemsaidia kufungua kampuni inayo itwa INTERMECH COMPANY LIMITED hivyo anawaomba SIDO waendelee kutoa ujuzi kwa vijana wote Tanzania, pia ametowa wito kwa vijana kujitokeza kwa wingi SIDO ili kuchangamkia fursa Mbalimbali kwa wanaohitaji mashine zake wampigie kupitia 0756374849. au watembelee viwanja vya maonyesho ya sabasaba
Habari picha na Ally Thabith
No comments:
Post a Comment