Mkuu wa Kitengo cha Ugani Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Dr Innocent Babili amesema katika kuelekea tanzania ya viwanda wanawaandaa vijana Kwa kuwapa elimu bora ili kukidhi matakwa na malengo ya serikali.
Ivyo amewataka watu kujiunga na Chuo Chao kwani wabaweza kujiajili na kuajiliwa baada ya jumaliza Masomo.
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kina Matawi 3 Tawi la Mizengo Pinda Mkoa wa Katavi,Mahlangu Mazimbu Morogoro na Moringe Sokoine. Ametoa wito kwa wanaotaka kujiunga ambao wanaotaka kupata Ujuzi mbalimbali bila kujali viwango vyao vya elimu wanakalibishwa.
Dr Innocent Babili amesema haya kwenye Maonyesho ya 16 ya Vyuo Vikuu viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dsm .
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment