Sunday, 4 July 2021

VETA YAJA NA MWARUBAINI WA UGONJWA WA UTI

 

ALLY ISSA Mwalimu wa maabara chuo cha ufundi stadi VETA  chang'ombe Dar es Salaam amesema ugonjwa wa UTI umekuwa ugonjwa sugu na hatari nchini Tanzania hivyo yeye ameamua kuja na dawa ambayo inasaidia kwa kiwango kikubwa kutibu ugonjwa huu wa UTI mpaka sasa mkoa wa Dodoma na Dar es Salaam dawa hi imetumika katika kutibu maswala ya UTI na mafanikio ni makubwa pia TMDA imesema watanzania na wasio watanzania waitumie dawa ya aina ya TOILET SEAT SPRAY DISINFECTANT kwani ni nzuri na inauwa bacteria ya UTI amewataka watu kutembeleea banda la veta kwenye maonyesho ya 45 ndani ya viwanja vya sabasaba.

Habari picha na Ally Thabith 




No comments:

Post a Comment