Muhaziri wa chuo kikuu cha Cathoric Mbeya anawataka wajitokeze kwa wingi kujiunga na chuo chao kwani wanatoa elimu bora ambako kwa upande wa degree ziko nne, ngazi diploma kumi, ngazi ya certificate 10. Pia amewataka tarehe 26 mwezi wa saba wajitokeze viwanja vya mnazi mmoja kwenye maonyesho ya TCU.
Habari picha na Ally Thabith
No comments:
Post a Comment