Sunday, 11 July 2021

BILIONI 570 KUNUFAISHA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

 

Afisa Jonathan Manase kutoka bodi ya MKopo kwa wanafunzi wa  elimu ya Juu, bajeti bilioni 570 itasaidia wanafunzi wa  elimu ya juu kuwasaidia wanafunzi laki 1 na elfu 60.

Bodi yampongeza Raisi Samia Suruhu Hassan kwa kutenga Bajeti ya kihistoria kwenye bajeti ya mikopo ya elimu ya juu tangu kuanzishwa kwa bodi ya mkopo tangu mwaka 2005 haijawahi kutengwa bajeti kubwa kwenye bodi ya mkopo kuongeza bajeti ya asilimia 22.8. Amewataka wanafunzi kufuata miongozo ya mikopo elimu ya juu wahakiki vyeti vyao vya kuzaliwa au vifo

Amesema haya kwenye Maonyesho ya 45 ya sabasaba

habari na Ally Thabith 

No comments:

Post a Comment