Sunday, 11 July 2021

TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO TARI YAMUUNGA MKONO RAISI SAMIA SURUHU HASSAN

Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya utafiti wa kilimoo TARI GEOFREY MKAMILO amesema wanafanya tafiti za kilimo lengo kutatua changamoto zinazo wakabili wakulima wakilimo Tanzania amesema TARI inavituo 17 vya utafiti na waweza kufanikisha kufanya tafiti mbalimbali za kilimo amabko zimesaidia wakulima lengo kumuunga mkono Raisi Samia Suruhu Hassan Katika kufika Tanzania ya viwanda ambako zaidi ya asilimia ya 65 ya malighafi zinazotumika viwandani zinatokana na kilimo na kilimo ni uti wa mgongo zimeweza kuwajili watu zaidi ya 75. amesema haya kwenye maonyeshgo ya 45 kwenye banda la Taasisi la utafiti wa kilimo TARI.

Habari picha na Ally Thabith




No comments:

Post a Comment