Erick Ketagory Afsa msimamizi wa fedha TEITI amesema wanatoa taarifa zao za Madini, Mafuta na Gesi asilia kwa wananchi lengo kutoa uwazi na ukweli namna rasilimali hizi zinavyowanufaisha wananchi pia taarifa zao wamechapisha kwa maandishi ya Nukta nundu kwa ajili ya wasiona.
Amesema haya kwenye maonyesho ya 45 kwenye viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Habari picha
Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment