Kaimu Meneja Mawasiliano na masoko Fedrick Kalinga amesema TBA wapo mbioni kukamilisha nyumba za magomeni kota pia mradi wa bunju umekamilika kwa kiwango kikubwa uku wakijivua kuwa na mashine za kisasa na zenye ubora amesema haya kwenye maonyesho ya 45 ya sabasaba.
Habari picha na Ally Thabith
No comments:
Post a Comment