Friday, 9 July 2021

MIKAKATI YA KUZIBITI MAGONJWA YA KOROSHO


 Afsa Kilimo mtafiti mwandamizi wa kituo cha Naliendele STANSLAUS LILAI amesema wanafanya jitihada za kuwasaidia wakulima wa korosho kukabiliana na magonjwa ya (1) BLAITI (Leaf and Nut Blight) (2) DIBEKI (Diback) (3) Ubwiri Unga (Powdery milden) (4) Chule (Anthracrote) na hizi ndiyo dawa zake nazo ni:-  (1) Biolojia (2) Usafi wa shamba (3) Matumizi sahihi ya viwatilifu vilivyosajiriwa na TPRI. 

Amesema haya kwenye maonyesho ya 45 kwenye viwanjwa vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Habari Picha na 

Ally Athabiti

No comments:

Post a Comment