Thursday, 29 July 2021

CHUO KIKUU CHA MZUMBE CHAFUNGUA MILANGO


 Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Rose Joseph amesema Chuo Chao wanatoa elimu,utafiti,ushauri na huduma kwa jamii .

Ivyo amewataka watu Kama kuna changamoto zinazowakabiri za kiuchumi watoe taarifa za kimaandishi kwenye Uongozi wa  Chuo Kikuu cha Mzumbe  ili waweze kuzitatuwa.

Pia Chuo Kikuu cha Mzumbe kinatoa Mafunzo ya Ujasilia Mali Kwa jamii na uwafikia makundi ya watu wenye Ulemavu na miundombinu ya Chuo Kikuu cha Mzumbe ni rafiki Kwa watu wenye Ulemavu .

Amewataka watu kujiunga na Tawi la Dsm la Chuo Kikuu cha Mzumbe eneo la Tegeta kwani mazingira ni wezeshi na rafiki kwaajili ya kujisomea . Ambako Tawi ili linauwezo wa wa kukuwa Wanafunzi elfu 1500 na kozi zinazotolewa ni nzuri .

Rose Joseph amewataka watu kujitokeza kwenye Maonyesho ya Chuo Vikuu  viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dsm Na watembelee Banda la Chuo Kikuu cha Mzumbe ambako atapata nafasi ya kujiunga na Chuo hiki, Kwa Mawasiliano +255689455588 or ±255735455588/ +255736455588. Email:dcc@mzumbe.ac.tz or www.dcc.mzumbe.ac.tz.

Habari picha na Ally Thabiti 

No comments:

Post a Comment