Mfanyakazi wa Msimbazi eye Center Limited amewataka watu kujitokeza kwa wingi viwanja vya sabasaba kwenye banda lao kwaajili ya kupima macho kwa bei nafuu pia wanauza miwani kwa gharama ndogo sana baada ya sabasaba kumalizika wanapatikana mtaa wa rumumba na amani pia wanapatikana msimbazi centre.
Habari picha picha na Ally Thabith
No comments:
Post a Comment