Sunday, 4 July 2021

 


THRDC YAJA NA MKAKATI MZITO
ONESMO ELI NGULUMO, mkurugenzi mtendaji wa THRDC amesema katika kutimiza miaka saba mtandao wa tetezi wa haki za kibinadam wamweza kufanikiwa kutatua changamoto za ukatiri wa kijinsia katika jamii wa kitanzania, sasa wanamkakati wakuweza kuwasaidia watanzaniakuondokana na ukatili wa kitanzania kwa kubuni mbinu za kujinusuru na umasikini nae naibu waziri anaeshughulikia maswala ya ulemavu UMMY NALIANANGA amewapongeza THRDC kwa kutimiza miaka saba na kuzindua mpango mkakati wakukabiliana na maswala ya ukatili wa kijinsia kwa upande wake waziri wa katiba na sheria PRO. PALAMAGAMBA KABUDI amezitaka asasi za kiraia nchini kuwa na mifumo ya kuinua wananchi kiuchumi ametoa wito kwa THRDC kuungana na serikali katika kuwa kwamua wananchi kiuchumi pia amesema serikali imefungua milango kwa asasi za kiraia.

Habari picha na Ally Thabith




No comments:

Post a Comment