Tuesday, 27 July 2021

CHUO KIKUU ZANZIBAR CHAMUUNGA MKONO RAIS WA ZANZIBAR


 Sultan Said  Omar Muhadhiri Maaisizi Chuo Kikuu cha Zanzibar amesema wanamipango ya kuandaa vijana wa Zanzibar katika kuelekea Uchumi wa Bluu ambako mpaka sasa wanawajengea uelewa watu wa Zanzibar  umuhimu na faida ya Uchumi wa Bluu.

Pia Sultan Said Omar amempongeza rais wa Zanzibar Kwa kuanzisha miradi mikubwa ya bandari . Amewataka watu kujitokeza Kwa wingi kwenye Maonyesho ya Vyuo Vikuu viwanja vyammnazi mmoja  jijini Dsm   Na watembelee Banda la Chuo Kikuu cha Zanzibar  .

Ambako watasajiliwa Kwa ngazi ya Cheti,Stashahada,Shahada,Uzamiri na Uzamivu kwamawasilihano +255 777 431 623/0777 706 260 Unguja, 0776 384 853 Pemba.,0658 085 783(Postgraduate)  E- Mail admission@zanvarsity.ac.tz,or info@zanvarsity.ac.tz.

Habari na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment