Wednesday, 28 July 2021

CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO CHAJA KIVINGINE

 Hamadi Suremani Afisa Habari Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Waislam Morogoro amewataka watu kujiunga na Chuo Chao kwani gharama zao na nafuu . Wanatoa Mafunzo yenye Uweredi huku wakifundisha Lugha ya Kichina bule.

Ambako Lugha hii ya Kichina  imepelekea  Wanafunzi wao kupata Ajira za mmoja Kwa mmoja kwenye Kampuni za wachina .

Hamadi Suremani  amesema Chuo cha Waislam Morogoro kutokana na mabadiliko ya  kiteknolojia  Mafunzo wanatoyatoa yanaendana na Kasi ya teknolojia kwani wanatumia vifaa vya kisasa kwaajili ya kufundishia .

Ivyo ametoa wito kwa kwa  kujiunga na Chuo Kikuu cha Waislam Morogoro na Kwa sasa wanapatikana kwenye Maonyesho ya Vyuo Vikuu ndani ya viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dsm.

Habari na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment