Mtafiti mwandamizi wa taasisi ya kilimo TARI AYUBU NDEE amewataka wakulima wakilimo cha mihogo na viazi vitamu kunumia mbegu kutoka TARI kwani zina ubora na watapata elimu ya kutoka ya namna ya kilimo bora.
Amesema haya kwenye maonesho ya 45 sabasaba
Habari na Ally Thabith
No comments:
Post a Comment