Thursday, 8 July 2021

TIRDO YAMUUNGA MKONO RAISI SAMIA SURUHU HASSANI


 Mtaalam wa mifumo ya ICT wa TIRDO amesema kuwa wamebuni mifumo mbalimbali ambayo itasaidia katika viwanda nchini Tanzania pia wameingia mkataba na Taasisi mbalimbali lengo kukuza na kuendeleza juhudi zinazo fanywa na TIRDO kwenye taasisi hizo, amesema pia ubunifu zinazofanywa na TIRDO zinasaidia kwa kiwango kikubwa changamoto wanazokutana nazo watu wenye ulemavu.

Amesema haya kwenye maonyesho ya 45 ndani ya viwanja vya sabasaba.

Habari picha na Ally Thabith


No comments:

Post a Comment