Dr Omary Mkurugenzi wa Masoko wa Chuo Kikuu Huria amewataka watu wenye Ulemavu wa wa kutokuona wajitokeze Kwa wingi kusomea Tehama bule kwani kuna watu wasio ona wamesomea Tehama kwenye Chuo Chao na wamehitimu vizuri .
Na wanauwezo wa kutumia Compyuta na Wana uwezo wa kuperuzi kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii Kwa kutumia simu janja.
Dr Omary amewataka watu kujitokeza kwenye Maonyesho ya Vyuo Vikuu viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dsm Na watembelee Banda la Chuo Kikuu Huria ili waweze kujisajili .
Kwa Mawasiliano zaidi 2668762
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment