Msanii Kameko Tarnez Kutoka Marekani amekuja nchini Tanzania kwaajili ya kutafuta vipaji vya waimbaji ambako tarehe11 mwezi wa 10 mwaka 2021 shindano litaanza.
Huku Mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi milioni 11 fedha ya kitanzania pia Kwa sasa atazinduwa I. P . Yake na atarekodi nyimbo na Daimondi na Ally kiba pamoja na Amonaizi .
Amewataka watanzania kulinda na kudumisha Amani iliyopo na waendelee kuwa na umoja na amewataka wamuunge mkono Kwa ujio wake hapa Tanzania .
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment