Prof Paramagamba Kabudi Waziri wa Katiba na Sheria amewataka Rita kutoa vyeti vya ndoa Kwa njia ya kieletroniki pia wasajili Viongozi wa Kidini watakao wanafungisha ndoa .
Kwani Kiongozi wa Kidini asiyekuwa na Cheti cha kufungisha ndoa aluusiwi kufungisha ndoa popote pale. Huku akitoa wito kwaRita kuwafikia watu wenye Ulemavu kwenye huduma wanazozitoa amesema haya jijini Dsm.
Habari na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment