Prof Mwabless Malila amewataka watu kujiunga na Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini kinatoa elimu bora ambako mtu akimaliza kusoma anapata Ajira .
Pia Chuo hiki kupitia mradi wa UNDP kimewakwamuwa kiuchumi wakazi wa kanda ya Ziwa Kwa kuwapa elimu ya Viazi Lishe na Wavuvi WA kanda ya Ziwa wameweza kufundishia namna ya kutengeneza mabarafu .
Ambako Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini kinatoa elimu Kwa gharama nafuu Kwa ngazi ya Cheti,Diploma,Shahada ya Kwanza na zinginezo .
Chuo kinapatikana Mwanza eneo la Kisesa na Bwilu na Kwa Dodoma eneo la Miuji mjini ambako Hosteri zipo za kutosha .prof Mwabless Malila ametoa wito kwa watu kukitumia Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Kwa elimu,utafiti na ushauli amesema haya kwenye Maonyesho ya 16 ya Vyuo Vikuu yalioandaliwa na TCU ambako yamefanyika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dsm.
Habari na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment