Kenneth Mbwanji,MSc Regional Director amesema katika utambuzi wa vina 7(DNA) wataakikisha namna yakuwafikia watu wenye Ulemavu Lengo wawe na uelewa wa pamoja na namna ya kutambuwa umuhimu wa maswala ya vina 7.
Ametoa wito kwa watu wenye Ulemavu kushiriki kikamilifu kwenye utambuzi wa vina 7 (DNA).
Habari picha na Ally Thabiti
Asante bwana Ally, ni kwa msaada wa Tanzania Society of Human Genetics.
ReplyDeleteTuko pamoja