Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) Matiko Mniko amewataka watanzania ususani wanawake kuanzia miaka 18 mpaka 26 kujitokeza Kwa wingi katika kushiriki Mashindano ya MISS EAST AFRICA kwani wataweza kuitangaza Tanzania na kuwavutia watu kuja kutalii na kuwekeza .
Ambako itapelekea watu kupata Ajira na kujikwamuwa kiuchumi . Katibu wa Baraza la Basata amewatoa hofu washiriki wote wa shindano la MISS EAST AFRICA kuwa zawadi za shilingi milioni 140 zipo na Hari yenye thamani ya milioni110 lipo . Kwani Basata mikataba yote wamepitia na watailinda .
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment