Aliye kuwa Msemaji wa Simba Haji Manala amemtaka Mwekezaji wa Simba amlipe pesa zake na aache kuwaongopea Wana Simba kuwa ametoa pesa za Uwekezaji ndani ya Simba si kweli .
Amemtaka C.o wa Simba Barbra Hassani Aache kumfuatilia na kumpaka matope .
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment