Mwenyekiti wa Bodi ya Tawa Jenelali Mstaafu Hamisi Semfuko amewataka watanzania kujitokeza kwenye Uwekezaji wa Wanyama Poli ambako mwaka 2018 Tawa ilianzisha mchakato wa Uwekezaji .
Ametoa wito kwa watanzania waishio kwenye vijiji kutunza ,kulinda na kuhifadhi maeneo ya Hifadhi ya Wanyama Pol . Kwani watanufaika kiuchumi .
Amewataka makampuni ya kitanzania kujitokeza kwenye Uwekezaji wa Wanyama Poli kwani kwenye Kampuni 10 zilizojitokeza Kampuni 1 ya watanzania.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment