Neema Mabula Meneja wa Tawi la Dsm Kutoka Global link Education amesema wanatoa mkopo wa fedha wa asilimia 50 mpaka asilimia 70 kwaajili ya elimu .
Na wanawatafutia Wanafunzi fursa ya kwenda kusoma nchi za China ,Indiana nchi zinginezo Kwa gharama nafuu .Pia wanawatafutia Wanafunzi Vyuo vya hapa Tanzania .
Global link Education wanapatikana Arusha,Mwanza,Mbeya eneo la Mwanjelwa, Dodoma,Zanzibar na Dsm amesema haya kwenye Maonyesho ya Vyuo Vikuu viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dsm .
Habari picha na Alloy Thabiti
No comments:
Post a Comment