Fundi wa kutengeneza mashine za kutengeneza mifuko mbadala ameipongeza SIDO kwa kumpa ujuzi wa namna ya kutengeneza mashine ambako imemsaidia kwa kiasi kikubwa kujikwamua kiuchumi kwa kuuza mashine hizi pia imemsaidia SIDO kwa kumtafutia masoko yakuuza mashine na mifuko mbadala anayoitengeneza awewataka watanzania na wasio watanzania kutembelea banda la SIDO viwanja vya sabasaba kwenye maonyesho ya 45 ametoa wito kwa watu kujiunga na SIDO ili waweze kujikwamua kiuchumi.
Habari picha na ALLY THABITH
No comments:
Post a Comment