Mwenyekiti wa Bakwata wa Almashauri kuu ya Taifa shehe Saudi Mataka amesema wamekubaliana Kwa pamoja Viongozi wrote wa Kidini kutoa elimu Kwa jamii namba ya kukabiliana na Corona Tanzania .
Name Nerisoni Kisale amewataka watanzania kuikubali na kuipokea Chanjo ya Corona .Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Temeke Joketi Mongera amewapongeza Viongozi wrote wa Kidini Kwa kukutana kwenye Makao makuu ya Baraza la Maaskofu Kurasini jijini Dsm kwaajili ya kuweka mbinuna mikakati ya kukabiliana na Corona kwenye Misikiti na Makanisa.
Pia Joketi Mongera amesema watu wenye Ulemavu watapewa elimu ya kujikinga na Corona.
Habari na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment