Afisa wa Silverland amewataka watu wajitokeze kwa wingi katika kununua vifaranga vya kuku na chakula cha kuku vya kampuni yao kwani bidhaa zao zina ubora mkubwa. Amesema haya kwenye maonyesho ya 45 ndani ya viwanja vya sabasaba.
Habari Picha na Ally Thabith
No comments:
Post a Comment