Sunday, 11 July 2021

NDC YAWAFUTA CHOZI WAKULIMA

WAaziri wa viwanada na biashara Pro Kitila Mkumbo amesema NDC wametatua changamoto za wakulima zilizo kuwa zikiwakabili kwa kuja na tera lenye uwezo wa kubeba tani tano ambako tera hili lina ubora mkubwa na linauzwa kwa gharama nafuu pia wanaohitaji kukopa wanakopeshwa, waziri amezipongeza taasisi za CARMATEC, TEMDO na KMTC.

Uzinduzi hu umefanyika kwenye maonyesho ya 45 viwanja vya sabasaba

Habari picha na Ally Thabith

No comments:

Post a Comment