PATRICK KITOSI wa VETA dakawa anaishukuru VETA kwakumpa ujuzi wanamna ya kulina asali na namna ya kuhifadhi pia veta dakawa imempa ujuzi namna ya kutengeneza mashine ambazo zinatengeneza sumu yakutibu wagonja ya Kansa na neva ambazo zinauzwa laki tano na laki saba pia kunamavazi pamoja na mizinga na mashine ya kulina asali VETA DAKAWA wanauza hivyo wamewataka watu kutembelea kwenye maonyesho ya 45 kwenye banda la VETA ndani ya viwanja vya sabasaba.
kwa mawasiliano 0713783125
Habari picha na Ally Thabith
No comments:
Post a Comment