Fatuma kutoka LATRA CCC Dar es Salaam wanatoa elimu kwajamii kwanjia ya vipeperushi, kwa vyombo vya habari na makundi mbalimbali ya wanafunzi lengo kuzibiti ajali katika jiji la Dar es Salaam. Pia wanawafikia walemavu wa aina zote huku akiwataka Watanzania na wasio kuwa watanzania kumbelea banda la jakaya kikwete kwenye maonyesho ya 45 viwanja vya sabasaba ili wapate elimu kutoka LATRA.
Habari picha na Ally Thabith
No comments:
Post a Comment