Bahati Mayoma Mwenyekiti wa Chama cha wabungua Korosho wakubwa amesema serikali ifanye jitihada za kuhahakisha kuwa korosho zinabanguliwa nchini Tanzania Pia amewataka wabangua korosho wawe na mikakati imara ili na wao wawe na mitaji mikubwa ya kununua korosho.
Amesema haya kwenye maonyesho ya 45 ya Sabasaba
Habari picha na Ally Thabith
No comments:
Post a Comment