Monday, 26 July 2021

CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR

 Khadija Sadiq Mahumba Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Masoko amewataka watanzania na wasio watanzania kujitokeza Kwa wingi kwenye maonyesho ya Vyuo Vikuu yalioandaliwa na TCU viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dsm.

Ambapo kwenye Banda la Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar wataweza kusajiliwa na kupata fursa ya kusoma kozi mbalimbali Kwa ngazi ya Cheri zipo 10, Diploma25, Bachelor18, Masters 8 na Phd1.

Ambapo kozi zote jumla zipo 62 Bi Khadija amesema watakuwa na ploglam ya Uchumi wa Bahari.pia Wana kozi za Kilimo  amesema haya kwenye Maonyesho ya Vyuo Vikuu viwanja vya Mnazi mmoja jijin Dsm.

Habari na Ally Thabiti


No comments:

Post a Comment