Wednesday, 28 July 2021

MKUU WA WILAYA YA TEMEKE KUWAFIKIA WENYE ULEMAVU KUHUSU CORONA


 Mkuu wa Wilaya ya Temeke Joketi Mongero amesema watatoa elimu Kwa watu wenye Ulemavu kwaajili ya kujikinga na kujikinga na ugonjwa wa Corona.

Pia amevitaka Vikosi vya Ulinzi na Usalama kuanzia tarehe 1mwezi8 mwaka 2021 kusimamia daladala zote watu wakae levositi. Amewapongeza Viongozi wa Dini kupitia Baraza la Maaskofu namba wanavyowaelimisha waumini wao jinsi ya kulinda na kujikinga na Corona .

Ametoa wito kwa watanzania na wasio watanzania waikubali Chanjo ya Corona nawawe tayari kuchanjwa.

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment