Sunday, 11 July 2021

ERICK OMONDI ATOA TANO KWA NIC

 Mchekeshaji maarufu na balozi wa wilaya ya Temeke ameipongeza shirika la bima ya Taifa NIC kwa kutoa bima zenye kiwango za kimataifa kwani wanasaidia vijana kupata ajira amesema haya kwenye maonyeshoi ya 45 viwanja vya sabasaba.

Habari picha na Ally Thabith


No comments:

Post a Comment