Thursday, 30 June 2022
Tuesday, 28 June 2022
RAIS SAMIHA HASSAN SULUHU AWAPA TUZO GLOBAL LINK EDUCATION
Rahisi Samiha Suluhu Hassani amesema anatambua mchango na jitiada zinazofanywa na Global Link Education nchini Tanzania kwa kuwatafutia kijana wa Kitanzania wa Bara na Zanzibar vyuo vya gharama nafuu, usalama na vyenye elimu bora vya Kimataifa nchi za nje ndiyo maana ameamua kuwapa tuzo Global Link Education akiwa Zanzibar.
Rais Samiha Suluhu Hassan amewataka wazazi na walezi kuwatumia Global Link Education kwa elimu bora kwani awana ubabaishaji.
Habari picha na
Ally Thabiti.
ABDULMALIKI MOLLEL ATETA NA WAZIRI WA ELIMU ZANZIBAR
Habari Picha na
Ally Thabiti
GLOBAL EDUCATION KUTEKELEZA PLOGRAME HEET PROJECT KWA VITENDO
AFISA UHAMIAJI MSAIDIZI AWAPA TANO TANTRADE
FORUM CC YAJA NA MIKAKATI YA KUTUNZA MAZINGIRA
Msololo Onditi Afisa Miradi FORUM CC amesema mikakati Yao ni Kutoa elimu Kwa Jamii namna ya Kutunza mazingira Kwa njia ya upandaji miti. pia wanaenda mashuleni na Wanawatumia mawakala 70 kwenye mikoa yote Tanzania.
Habari picha na Ally Thabiti
Sunday, 26 June 2022
JAMII YAOMBWA KUWATHAMINI WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam Godwin Gondwe ameitaka jamii kuwathamini watu wenye mahitaji Maalumu ikiwemo Walemavu kwani wanapaswa kupatiwa haki kama watu wengine.
| Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe (mwenye Miwani) akiangalia ubunifu wa kazi za sanaa zilizofanywa na Watoto wenye Mahitaji Maalum. |
| Watoto wenye Mahitaji Maalum wakionyesha burudani kwenye Tamasha la Watoto wenye Mahitaji Maalum lililoandaliwa na Makumbusho ya taifa Mkoani Dar es salaam. |









