Friday, 20 May 2022

JOSEPHINE MATIRO MKURUGENZI WA HAKI ZA WANAWAKE TAASISI YA WANAWAKE LAKI MOJA AVUTIWA NA UTENDAJI KAZI WA RAIS SAMIA SUHULU HASSAN

 Mkurugenzi wa Haki za Wanawake Taasisi ya Wanawake Laki Moja amempongeza rais Samia Suluhu Hassan Kwa ongezeko la mshahara la asilimia 3.3 kwani itasaidia Kwa kiasi kikubwa kupunguwa Kwa ugumu wa maisha ,kuongezeka Kwa morari Kwa wafanyakazi na uweredi katika kazi.

Ambako raisi amevunja rekodi Kwa mwaka mmoja Kuongeza mshahara kwani ndani ya Miaka Saba mishahara aikuongezwa.

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment