Friday, 20 May 2022

RAHUL BHATI MENEJA WA REDINGTON TANZANIA AMESEMA ICT KUKUZA UCHUMI


 Rahul Bhati Meneja wa Redington Tanzania amesema ICT inasaidia  Kwa kiasi kikubwa kukuza uchumi Kwa Kasi kubwa zaidi na kutatuwa tatizo la Ajira nchini tanzania ,Mfano watu wanavyotumia mitandao ya kijamii Kwa kupashana habari. 

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment