Wednesday, 25 May 2022

JOYCE NYONI WA TAASISI YA USTAWI WA JAMII AMPONGEZA WAZIRI DOROTHY NGWAJIMA


 Mkuu wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii Joyce Nyoni amesema anamshukuru Waziri  Dorothy Ngwajima ,Katibu Mkuu Zainabu Chakula ,Naibu Katibu Mkuu Amoni Mpanju pamoja na Uongozi wote wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi maalum kwazi wanayoifanya za kukuza na kuendeleza Chuo cha Ustawi wa Jamii.

Amesema haya Wakati wa Uzinduzi wa Bodi ya Magavana ya Taasisi ya Ustawi wa Jamii.

Habari picha na Ally Thabiti


No comments:

Post a Comment